Kiwanja kinauzwa
Eneo: kipo MWANZA- KISHIRI.
Ukifika kishiri unashuka
sehemu inaitwa Chadema,
ukishuka ili kukikuta
Kiwanja unatembea dk 15.
Kiwanja kina urefu wa miguu 40 na upana miguu 18.
Wasiliano.
0715581532
Email:
amaniluhuha@gmail.com
Au
Tumia kuni inbox humu jf.