Kiwanja Kinauzwa

Kiwanja Kinauzwa

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Kiwanja Kinauzwa. Kipo maeneo ya Kimele Bagamoyo, Kabla hujafika Shule ya BaoBab unaingia upande wa Kushoto kama umetokea Bunju Dar es Salaam. Kipo umbali wa Kilometa 2 kutoka Barabara Kuu ya Lami. Ukubwa ni 30*15. Bei ni 6Mill. Maelewano yapo.
 
Mbona bei kubwa sana hiyo
 
pana huduma gani za jamii,,,kimepimwa???hebu toa maelezo yalokamilika,,,,km mbili na kama nyuma tu ya hiyo shule,,,au umesema tu kulainisha watu
 
pana huduma gani za jamii,,,kimepimwa???hebu toa maelezo yalokamilika,,,,km mbili na kama nyuma tu ya hiyo shule,,,au umesema tu kulainisha watu

Ok mkuu kiwanja hakijapimwa ila kipo karibu na huduma zote Shule, Kanisa, Dispensary, Barabara, maduka....n.k
 
kuna maji na umeme,,,ww ni dalali au mwenye eneo

Maji yapo, Umeme upo tena na nguzo ipo futi chache kutoka kwenye kiwanja, Mimi ni mwenye eneo....hii haina udalali. Hiyo attachment ni picha inayoonesha eneo kiwanja kilipo
 
Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom