Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

talnam

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
1,452
Reaction score
2,831
Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa maeneo ya mabwe kwa kitua, miguu 18/25 kwa shilling Mil 4. Kwa maelezo zaid Tuwasiliane no. 0712878698
 
Bunju mwisho kuna Noah zinaelekea huko haufiki msitu wa mabwe pande na noah nauli 500 mpaka hapo kijijini(hili ni jina tu la kituo cha mwisho)
 
Miguu,dunia hiii
Loh! Ni vile tu sina utaalam sijui hata wanapimaje ila nmesema ivo maana ndo naona maneno wanayotumia. Ila ni eneo kubwa hata kukiwa na mpimaj wa serikali linakatwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom