Kiwanja kinauzwa

frates

Member
Joined
May 13, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Ukubwa: square meter 602
kilipo: Mbweni JKT karibu na Baharini
Bei: maelewano
mawasiliano: 0754570615 au 0715570615
 
Sijajua kwanini watu wengi humu jf wanapenda kuficha bei za bidhaa wanazouza.
 
Ukiona hivyo hawajiamini wanataka kukupiga

Wengi wao huwa ni madalali anaona akitaja bei watu watamsema kwamba bei ya uongo ndo maana anataka apige juu kwa juu
 
Mkuu frates ni bei gani hicho kiwanja? inasaidia kufahamu bei ili kuweka maelewano vizuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…