Kiwanja kinauzwa Tegeta

Kiwanja kinauzwa Tegeta

kat.ph

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,222
Reaction score
1,679
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.
Urefu wa kiwanja ni mita 37 Upana wa kiwanja ni mita 23
Bei 19M.

PM kwa serious buyersKaribuni
 

Attachments

  • 20180508_153518.jpg
    20180508_153518.jpg
    537 KB · Views: 68
  • 20180508_153909.jpg
    20180508_153909.jpg
    463.7 KB · Views: 65
Mkuu Hayo ndo Maeneo gani?
Kwa Ndevu?
Kibaoni?
Au Njia ya Wazo hill?
Au Nyuki?
Au Tegeta Kanisani?
 
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.
Urefu wa kiwanja ni mita 37 Upana wa kiwanja ni mita 23
Bei 19M.

PM kwa serious buyersKaribuni
Muuzaji hauko sereous skwata umuuzie mtu Mln 19?
 
Mkuu Hayo ndo Maeneo gani?
Kwa Ndevu?
Kibaoni?
Au Njia ya Wazo hill?
Au Nyuki?
Au Tegeta Kanisani?
KUna njia tatu za kwenda Nyakasangwe. Unaweza kukatizia pale njia ya wazo hill kwenda kiwanda cha cement. Au ukaja kukatizia Boko Chama hapa. Ukikatizia hapa boko chama ni karibu zaidi... Ukikodi bodaboda ni 2000Tsh.
 
Sahv kimepanda bei kuna jukwaa nilikikuta 18 millions
Sio kweli. Hiki kiwanja ni changu mwenyewe na hakuna mtu mwingine amepost popote maana hakuna dalali. Kama umekipenda karibu PM tuongee biashara chief
 
Hiyo TE="Daud1990, post: 27329506, member: 214818"]Ukifika milion 5 uniambie mkuu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
Hiyo haitokuwepo.
 
Sio vizuri hivyo wewe umevamia lakini wewe unauza bei kubwa hivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom