Kiwanja kinauzwa -Tegeta Nyakasangwe

Kiwanja kinauzwa -Tegeta Nyakasangwe

kat.ph

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,222
Reaction score
1,679
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.

Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.

Urefu wa kiwanja ni mita 37
Upana wa kiwanja ni mita 23

Bei 19M. Hakuna udalali

PM kwa serious buyers
Karibuni
20180508_153444.jpg
20180508_153442.jpg
20180508_153518.jpg
20180508_153405.jpg
 
Nyakasangwe ni uelekeo upi mkuu, sisi watu wa mbagala tupe ramani kamili tupime maji na unga
 
Nyakasangwe ni uelekeo upi mkuu, sisi watu wa mbagala tupe ramani kamili tupime maji na unga
Unaweza ukakatizia Wazo hill. ..ama Boko chama. Ukiwa boko chama unaingia kushoto kuelekea hapo Nyakasangwe. Nauli kwa pikipiki ni 2000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom