mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Kipo tegeta -madala unapita kidogo kiwanda cha cement ukubwa- upana miguu 30 na urefu miguu
mwisho mil 4 mkuu kiwanja kipo km1 kutoka barabara kuu ya magaribei haipungui?
mwisho ni milioni 4 mkuu , kiwanja kipo km 1 kutoka morogoro road.
Kipo tegeta -madala unapita kidogo kiwanda cha cement ukubwa- upana miguu 30 na urefu miguu 30. Bei ni millioni 4 na nusu tu.
mawasiliano: 0716805201.
bado dadamkubwa.Vipi kiwanja kimeshapata mteja.?
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
mi sijui mnenz labda uniambie wewe ila najua kiwanja kipo tegeta. Na kipo karibu na barabara kuu 1km.mkuu kwani morogoro road inapita tegeta? Bei ni nzuri lakini.
hakina mkuu siunajua viwanja vya kupewa na kukatiwa na wazee wetu..huwa havinaga offer wala hati. usijali kuhusu hilo.kimepimwa?kina hati?