Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea

bazoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
300
Reaction score
141
Kiwanja chenye ukubwa wa sq metre 486 yani urefu 27 upana 18 bei ni 15 mill maongezi yapo kipo mita 900 toka ilipo stand ya daladala ya TABATA segerea hakijapimwa ukihitaji wasiliana nami kwa namba 0622-027490
 
mkuu kwa bei iyo kiwanja ambacho hakija pimwa ni ngumu kupata mteja japo wapo wachache.Ila bei yako iko mbali sana kuna mtu anauza nyumba kule KUPATANA 20M halafu wewe uwanja tu 15M anyway wasubiri waje wazee wa kuzichota waje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom