kiwanja kinauzwa sqm1886

kiwanja kinauzwa sqm1886

add101

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Habari zenu wakubwa Plot inauzwa pugu buyuni, kimepimwa kina hati na documents zote za wizarani, ukubwa ni sqm 1886
bei 35million, price can be negotiated too.
Dalali haitajiki.

kama utahitaji, ni pm

attachment.php
 
duh kule mil8 wewe mil 35...mbona una-sound kama vile wewe ni dalali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom