K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 May 30, 2012 #1 Kiwanja chenye ukubwa wa 15m kwa 15m kwa 18m na kwa mbele ni 23meters,kipo bondeni kuliko endelea, bei inazungumzika. kwa mawasiliano 0717 123 464 au 0762 101 178
Kiwanja chenye ukubwa wa 15m kwa 15m kwa 18m na kwa mbele ni 23meters,kipo bondeni kuliko endelea, bei inazungumzika. kwa mawasiliano 0717 123 464 au 0762 101 178
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 May 30, 2012 #2 weka bei ili anaekupigia awe na la kuongea
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 May 30, 2012 #3 Mkuu hivyo vipimo vyako vinanipa tatizo kuvielewa. Kwa mtu ambaye amesoma geometry kidogo atatambua kwamba unazungumzia umbo la BOX!!
Mkuu hivyo vipimo vyako vinanipa tatizo kuvielewa. Kwa mtu ambaye amesoma geometry kidogo atatambua kwamba unazungumzia umbo la BOX!!
J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 May 30, 2012 #4 I think its trapezium..mshazali
K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 May 30, 2012 Thread starter #5 bei ni maelewano lkn inaanzia 12m.
kelvito JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 386 Reaction score 100 May 30, 2012 #6 Kabachubya said: bei ni maelewano lkn inaanzia 12m. Click to expand... kaaziii kwelikweli duuu!
K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 May 30, 2012 Thread starter #7 bei poa kabisa hiyo na inaongeleka.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,973 Reaction score 30,154 May 31, 2012 #8 Power said: Mkuu hivyo vipimo vyako vinanipa tatizo kuvielewa. Kwa mtu ambaye amesoma geometry kidogo atatambua kwamba unazungumzia umbo la BOX!! Click to expand... Technology ya 3D imeshika kasi mpaka kwenye viwanja, Hapo ni urefu x upana x kimo. (3-Dimensions)
Power said: Mkuu hivyo vipimo vyako vinanipa tatizo kuvielewa. Kwa mtu ambaye amesoma geometry kidogo atatambua kwamba unazungumzia umbo la BOX!! Click to expand... Technology ya 3D imeshika kasi mpaka kwenye viwanja, Hapo ni urefu x upana x kimo. (3-Dimensions)
K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 May 31, 2012 Thread starter #9 Mtu yoyote anayehitaji mwenye 10 million kama kweli anania ya kununua tuwasiliane.
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 May 31, 2012 #10 Kabachubya said: Kiwanja chenye ukubwa wa 15m kwa 15m kwa 18m na kwa mbele ni 23meters,kipo bondeni kuliko endelea, bei inazungumzika. kwa mawasiliano 0717 123 464 au 0762 101 178 Click to expand... Weka bei hapo, halafu biashara ikishafanyika usisahau kuwalipa JF kwani umeweka tangazo la biashara ubaoni.
Kabachubya said: Kiwanja chenye ukubwa wa 15m kwa 15m kwa 18m na kwa mbele ni 23meters,kipo bondeni kuliko endelea, bei inazungumzika. kwa mawasiliano 0717 123 464 au 0762 101 178 Click to expand... Weka bei hapo, halafu biashara ikishafanyika usisahau kuwalipa JF kwani umeweka tangazo la biashara ubaoni.