charityjackson
Member
- Mar 31, 2018
- 7
- 3
Kiwanja kipo Salasala Kilimahewa juu jirani na Maliasili. Kina documents za umiliki zinazotambuliwa na serikali ya mtaa na kata. Kina ukubwa wa miguu 22 kwa 25. Kina nyumba (underground) ambayo bado haijakamilika pamoja na msingi juu ya underground, Bei 18M. Piga 0682760900 kwa maelezo ya ziada.