oriflametz
Member
- May 31, 2016
- 47
- 12
Post deleted by author
Mkuu huko Ruvu kwa nzoka ndo wapi?Kiwanja kinauzwa kipo ruvu kwa zoka mita chache kutoka barabaran kina ukubwa wa hatua 20 kwa 25, huduma zote zinapatkana.. Bei ni milion 3.5 maongez yapo.... 0652140160
Ukishapita ruvu darajan kma vituo viwili mbeleMkuu huko Ruvu kwa nzoka ndo wapi?
Kwa huko labda kama hizo milioni ni pesa za Zimbabwe mkuu.Ukishapita ruvu darajan kma vituo viwili mbele
Ukihitaj unaenda kuonyeshwa plot unatoa ofa yako...Kwa huko labda kama hizo milioni ni pesa za Zimbabwe mkuu.
Umbali kwa km nitakudanganya ila ukipanda magari ya mkata unashuka kwa zoka unakua umefika maana si mbali kutoka hapo ni karibu na shule ya msingi...Unavuta daraja la reli, umbali gani kutoka barabarani