Plot at Kitunda Magore kwa Mpemba Karibu na Mwanagati Sehemu imetulia. Makazi mapya/Viwanja vimekatwa kwa kuzingatia miundo mbinu yote especially barabara zenye upana wa 5Meters.
Size 50ft X 50ft
(2 in 1)
Bei Tsh:7m [@Plot]
Nguzo Moja tu ya Umeme. Maji papo yapo Unit1 sawa na 50Ndoo Tsh: 2000.
Karibuni.
8.4Kms from Banana Aviation House.
Karibuni.