Kiwanja kinauzwa Mwanza

Kiwanja kinauzwa Mwanza

37 muzzy

Member
Joined
May 28, 2016
Posts
32
Reaction score
8
Wadau habari za leo.. Nimekwa nahitaji pesa ya faster.

Hivyo nauza kiwanja changu. Kipo Mwanza Maeneo ya Kishiri, kimepimwa kwa upimaji shirikishi ila bicon bado hawajakamilisha kutuwekewa. Details zake ni kma ifuatavyo

1. Kina ukubwa wa 23meter kwa 20 meter.

2. Maji yamefika maeneo hayo

3. Kinafikika kiurahisi, yaani gari ya material ya ujezi ishusha hapo hapo


4. Eneo ni tambalale, hakuna mlima na hakuna dalali unakutana na mimi mwenye kiwanja.

Kwa anayehitaji anitafte inbox kwa maelezo zaidi.

Au kwa no. Ya simu 0624 088 286 whatsap au calls accepted.

Bei ni Tshs.1700000 Maongezi yapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom