Kiwanja kwa ajili ya makazi kipo maeneo ya Igoma (Nyuma ya shule ya St Mary) - barabara ya nyerere kinauzwa kwa bei nzuri. Tuwasiliane iwapo uko kwenye mipango ya kujikwamua kumiliki mjengo wako. Kwa mawasiliano piga simu nambari 0655 533543.
Wote mnakaribishwa