S Salama salimini Senior Member Joined Dec 2, 2013 Posts 191 Reaction score 39 Sep 19, 2014 #1 Wakuu heshima kwenu! Natafuta kiwanja Musoma mjini hasa maeneo ya Nyamatare. Pia Kama una namba ya dalali wa viwanja maeneo hayo nijulishe pse!
Wakuu heshima kwenu! Natafuta kiwanja Musoma mjini hasa maeneo ya Nyamatare. Pia Kama una namba ya dalali wa viwanja maeneo hayo nijulishe pse!
legend07 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 333 Reaction score 137 Sep 20, 2014 #2 Mi pia nahtaj nyumba ya kupanga
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 Sep 20, 2014 #3 Salama salimini said: Wakuu heshima kwenu! Natafuta kiwanja Musoma mjini hasa maeneo ya Nyamatare. Pia Kama una namba ya dalali wa viwanja maeneo hayo nijulishe pse! Click to expand... Kama ukihitaji maeneo ya nyabange kuvuka shule msingi kwa mbele kidogo nijulishe.
Salama salimini said: Wakuu heshima kwenu! Natafuta kiwanja Musoma mjini hasa maeneo ya Nyamatare. Pia Kama una namba ya dalali wa viwanja maeneo hayo nijulishe pse! Click to expand... Kama ukihitaji maeneo ya nyabange kuvuka shule msingi kwa mbele kidogo nijulishe.
S Salama salimini Senior Member Joined Dec 2, 2013 Posts 191 Reaction score 39 Sep 20, 2014 Thread starter #4 natoka hapa said: Kama ukihitaji maeneo ya nyabange kuvuka shule msingi kwa mbele kidogo nijulishe. Click to expand... Asante mkuu natoka hapa interest yangu ni maeneo ya nyamatare. Wakuu mwenye taarifa tafadhali.
natoka hapa said: Kama ukihitaji maeneo ya nyabange kuvuka shule msingi kwa mbele kidogo nijulishe. Click to expand... Asante mkuu natoka hapa interest yangu ni maeneo ya nyamatare. Wakuu mwenye taarifa tafadhali.
S Salama salimini Senior Member Joined Dec 2, 2013 Posts 191 Reaction score 39 Sep 20, 2014 Thread starter #5 legend07 said: Mi pia nahtaj nyumba ya kupanga Click to expand... Nyumba ya kupanga unaihitaji maenei gani na bajeti yako?
legend07 said: Mi pia nahtaj nyumba ya kupanga Click to expand... Nyumba ya kupanga unaihitaji maenei gani na bajeti yako?
legend07 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 333 Reaction score 137 Sep 21, 2014 #6 Nitajie bei za huko mana nahitaj iwage na parking pia
legend07 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 333 Reaction score 137 Oct 8, 2014 #7 Salama salimini said: Nyumba ya kupanga unaihitaji maenei gani na bajeti yako? Click to expand... Ndugu ulipotea kabsa
Salama salimini said: Nyumba ya kupanga unaihitaji maenei gani na bajeti yako? Click to expand... Ndugu ulipotea kabsa