Kiwanja kinauzwa Morogoro

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,720
Reaction score
2,048
Kipo Lukobe Block 10, kimepimwa na kina ofa.

Kimejengwa chumba kimoja cha self ambacho hakijamaliziwa ila tayari kimeezekwa.

Area 800m (20.51/39.02) bei Tsh. 12m. Kinaangalia barabara ya daladala ziendazo Lukobe. Block kiliyopo inapakana na Block ya nyumba za NSSF Lukobe.

Karibu sana, kama uko interested waweza pm. Then tunaongea.
 
Natamani kuishi huko mahala, may be 1 day yes
 
Kabisaa ndugu yangu maana ninatamani hadi wakati mwingine najiona kama nitahamia kesho

Kwani kwa sasa unaishi wapi? Na je umewqhi kufika huku moro.?
 


Rafiki kwa eneo kama hilo hebu jipe kwanza miaka mitatu mbele ya kusubiri ili upate hiyo bei ya 12m.

Nayafahamu maeneo hayo na mimi nina nyumba yangu mitaa hiyo.
 
Vivutio lukobe
 

Attachments

  • 1429195546935.jpg
    156.4 KB · Views: 139
Rafiki kwa eneo kama hilo hebu jipe kwanza miaka mitatu mbele ya kusubiri ili upate hiyo bei ya 12m.

Nayafahamu maeneo hayo na mimi nina nyumba yangu mitaa hiyo.

Nilitaka kuandika kitu kama hiki. Kihonda kwenyewe ambapo watu wameshajenga sana viwanja havina hata dalili ya kufikia hiyo bei. Mwishoni mwa mwaka jana kuna jamaa alikuwa anauza kiwanja hukohuko Lukobe kwa 2Ml.
 
OK, asanteni kwa ushauri wenu nitauzingatia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…