miley Member Joined Aug 2, 2013 Posts 87 Reaction score 14 Jan 27, 2014 #1 Wananchi kiwanja kipo Moro eneo la kihonda, ukubwa wa mita sp 600, kina hati, huduma za jamii zipo. Barabara hadi pale. Bei 7mil kama una nia piga 0715500248, 0756171831
Wananchi kiwanja kipo Moro eneo la kihonda, ukubwa wa mita sp 600, kina hati, huduma za jamii zipo. Barabara hadi pale. Bei 7mil kama una nia piga 0715500248, 0756171831
mpushi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 280 Reaction score 77 Jan 28, 2014 #2 Kihonda kubwa mkuu, sehemu gan ya kihonda?
miley Member Joined Aug 2, 2013 Posts 87 Reaction score 14 Jan 28, 2014 Thread starter #3 mpushi said: Kihonda kubwa mkuu, sehemu gan ya kihonda? Click to expand... kihonda kwa chambo, karibu na shule ya Azimio
mpushi said: Kihonda kubwa mkuu, sehemu gan ya kihonda? Click to expand... kihonda kwa chambo, karibu na shule ya Azimio
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,543 Jan 28, 2014 #4 mita sp 600???? ulitaka kumaanisha 600sqm?