maula mrs Senior Member Joined Dec 21, 2012 Posts 114 Reaction score 18 May 6, 2013 #1 Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037
Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,194 Reaction score 9,898 May 6, 2013 #2 Kimepimwa? Hiyo size ni Medium Density ama High Density? Na ni Tungi ipi?
maula mrs Senior Member Joined Dec 21, 2012 Posts 114 Reaction score 18 May 6, 2013 Thread starter #3 Kitimoto said: Kimepimwa? Hiyo size ni Medium Density ama High Density? Na ni Tungi ipi? Click to expand... mkuu kimepimwa,size medium ni Tungi ile ukipita kidogo sn mnada wa nane nane kuna ukumbi mkubwa umejengwa hapo karibu na masister
Kitimoto said: Kimepimwa? Hiyo size ni Medium Density ama High Density? Na ni Tungi ipi? Click to expand... mkuu kimepimwa,size medium ni Tungi ile ukipita kidogo sn mnada wa nane nane kuna ukumbi mkubwa umejengwa hapo karibu na masister
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 May 6, 2013 #4 maula mrs said: Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037 Click to expand... mkuu heb niweke sawa fut 19*30 unamaanisha mita 6*10? ambazo zinakaribiana na hatua 6 kwa hatua 10?
maula mrs said: Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037 Click to expand... mkuu heb niweke sawa fut 19*30 unamaanisha mita 6*10? ambazo zinakaribiana na hatua 6 kwa hatua 10?
maula mrs Senior Member Joined Dec 21, 2012 Posts 114 Reaction score 18 May 6, 2013 Thread starter #5 Mabreka said: mkuu heb niweke sawa fut 19*30 unamaanisha mita 6*10? ambazo zinakaribiana na hatua 6 kwa hatua 10? Click to expand... kaka kuna makosa kidogo hapo ni ha2a 19*33
Mabreka said: mkuu heb niweke sawa fut 19*30 unamaanisha mita 6*10? ambazo zinakaribiana na hatua 6 kwa hatua 10? Click to expand... kaka kuna makosa kidogo hapo ni ha2a 19*33
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 57 Oct 13, 2013 #6 Haya mambo ya hatua yashapitwa na wakati, kama vipimo vinavyojulikana vipo bado tunang`ang`ania mambo ya mwaka 47,, sema ni meter ngapi kwa ngapi maana popote inajulikana,,, sasa hizo hatua ukiwa mfupi je?
Haya mambo ya hatua yashapitwa na wakati, kama vipimo vinavyojulikana vipo bado tunang`ang`ania mambo ya mwaka 47,, sema ni meter ngapi kwa ngapi maana popote inajulikana,,, sasa hizo hatua ukiwa mfupi je?
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Oct 13, 2013 #8 maula mrs said: Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037 Click to expand... Nakupm sasa ivi ama kama una whassap ni vyema pia niko mbali kdg na tz
maula mrs said: Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037 Click to expand... Nakupm sasa ivi ama kama una whassap ni vyema pia niko mbali kdg na tz
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Oct 13, 2013 #9 maula mrs said: Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037 Click to expand... Kumbe ni tangazo la May?? Aaagh
maula mrs said: Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037 Click to expand... Kumbe ni tangazo la May?? Aaagh