Kiwanja kinauzwa,Morocco Dar es salaam

Hiyo Hela unanunua finished houses au apartment zaidi ya 3 either USA, south Africa au Dubai for business
 
Hiyo Hela unanunua finished houses au apartment zaidi ya 3 either USA, south Africa au Dubai for business
Bongo sijui hizi bei wanatoaga wapi... Yaani unakuta kabisa kiwanja dar kinathamani kuliko nyumba London, U.K, Dubai... Wakati hilo jengo hapo pembeni halina hata wapangaji
 
Madalali huwa wanachelewesha sana biashara za watu.

Huwa nashindwa kuelewa sijui dalali ana uchungu na mali kuliko mwenye mali mwenyewe ama vipi?

Pesa uliyoandika mtu ananunua finished apartment Mbezi Beach, Masaki ama jengo la biashara Kariakoo lakini hapa eti ni bei ya kiwanja tu.
 
Nakitaka nakuja pm mkuu
Lazima kdg uutishie umaskini
 
Bongo sijui hizi bei wanatoaga wapi... Yaani unakuta kabisa kiwanja dar kinathamani kuliko nyumba London, U.K, Dubai... Wakati hilo jengo hapo pembeni halina hata wapangaji
Yani plot inauzwa bilion 4 Tsh

Ndio maana wakijenga apartment hapo unakuta Bei za kupangisha zinakuwa juu sana. Kwasababu gharama zinakuwa juu mno.

Hiyo Hela ukienda Marekani unanunua majumba ya kufa mtu. Tena kwenye miji mizuri kabisa yenye sewage system nzuri , umeme na maji uhakika , sio hapo makelele ya Bodaboda na maji taka
 
Attachments

  • Screenshot_20250622-082013.png
    1.8 MB · Views: 29
  • Screenshot_20250622-081948.png
    1.5 MB · Views: 32
Udalali unaongeza gharama
 
Ndiyo maana kasema ya biashara. Hizo nyumba hapo juu utapangisha kwa shilingi ngapi na return yake baada ya muda gani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…