Kiwanja kinauzwa Mikocheni

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Kiwanja kinauzwa Mikocheni ukubwa ni sqm 1500 maeneo ni kwa Warioba kina Document zote ikiwemo hati. kwa mawasiliano 0773 944 944
 
Naombeni mniwie radhi wapendwa nilidhani nipo kwenye jukwaa la matangazo madogomadogo.
 
Naombeni mniwie radhi wapendwa nilidhani nipo kwenye jukwaa la matangazo madogomadogo.

na huku biashara zetu zipo ki technology zaidi na uwe na detail unapofanya biashara kwa nini tunakuwa wagumu kubadilika , kiwanja kinauzwa so what hamna bei ina maana mpaka leo hujui online marketing inafanyikaje ? tubadilike huoni wajapan wakitangaza magari yao wanavyofanya ,unapoamua kuingia kwenye e-market ujipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…