Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi C

Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi C

funny

Senior Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
102
Reaction score
23
Kiwanja kinaukubwa wa 18*20 gari inafika hadi ktk kiwanja . Bei nafuu sana.

Umeme na kisima cha maji vipo karibu sana.
Bei tzs 3,950,000.00

Call 0658 554 992

MBEZI MSUMI 1.jpeg

MBEZI MSUMI 2.jpeg

MBEZI MSUMI.jpeg
 
Mbona porini na hata watu hawajahamia. Bei yenyewe unauza ya kipindi cha kikwete..! Anyway,hivyo vipimo vyako vya 18×20 ni nini,mita,futi au miguu!??
 
Mbona porini na hata watu hawajahamia. Bei yenyewe unauza ya kipindi cha kikwete..! Anyway,hivyo vipimo vyako vya 18×20 ni nini,mita,futi au miguu!??
Kuna mji na usafiri wa daladala upo. Meter 18*20
 
Hahah nakifahamu,poa komaa utauza,kipo road ya mtaa kabisa na kina mfenesi unazaa balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom