20 M.Bei gani?
Kiwanja kipo eneo zuri na karibu na barabara Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam. Kina ukubwa wa 20*20 mita, bei milioni 20 tu, maelewano yapo. PM kwa biashara.
Hata mm nashangaa hicho kiwanjacha 20 million kina dhahabu chiniYaani 20*20 unauza 20ml,hiyo 20mil. ni ya Zimbabwe au Tanzania?
Kikifika milion 8 unishitue nikichukue20 M.
Mkuu nina kiwanja hapo Mbezi kwa Msumi,sehemu ni Tambarare kabisa,ukubwa ni 20 kwa 20 na ninaanzia kama milioni 5 tu,na mazungumzo kidogo yanaweza zingatiwa,ukiwa tayari nicheki 0655 44 64 60Kikifika milion 8 unishitue nikichukue
hiyo 20×20 ni mita au miguu?Mkuu nina kiwanja hapo Mbezi kwa Msumi,sehemu ni Tambarare kabisa,ukubwa ni 20 kwa 20 na ninaanzia kama milioni 5 tu,na mazungumzo kidogo yanaweza zingatiwa,ukiwa tayari nicheki 0655 44 64 60
Kiwanja kipo eneo zuri na karibu na barabara Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam. Kina ukubwa wa 20*20 mita, bei milioni 20 tu, maelewano yapo. PM kwa biashara.
Kikifika milion 8 unishitue nikichukue