Kiwanja kinauzwa Mbezi Luis

Kiwanja kinauzwa Mbezi Luis

lululecious

Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Habar wakuu,

Kiwanja kinauzwa kipo mbezi luis mita chache kutoka stend ya daladala, kinaukubwa wa mita 25x30 umeme na maji vyote vinapatikana.
Bei milioni kumi na nne. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0712621693 au 0769675352.
 
habar wakuu,
kiwanja kinauzwa kipo mbezi luis mita chache kutoka stend ya daladala, kinaukubwa wa mita 25x30 umeme na maji vyote vinapatikana.
Bei milioni kumi na nne. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0712621693 au 0769675352.

Kama ni mita chache kutoka stendi ya daladala napata shaka yawezekana ikawa kwenye hifadhi ya barabara kuu
 
Kama ni mita chache kutoka stendi ya daladala napata shaka yawezekana ikawa kwenye hifadhi ya barabara kuu

kiko nje ya mradi wa tanroad, na ruhusa kuhakiki popote hata serikali za mitaa ili kujiridhisha na manunuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom