Nicheki pm mkuu, kama utashuka kidogo tunaweza fanya biashara fastaKiwanja kipo mbezi beach tangi bovu chui street karibu na shule ya jk nyerer kina hati halali na square mita 495 na bei yake ni 80m
Piga simu kma unahitaji kukiona kwa ukaguzi na upewe docmnt ukajiridhishe
Nmba ya simu 0656436662