Kiwanja kinauzwa mbezi beach tangibovu

Kiwanja kinauzwa mbezi beach tangibovu

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
kiwanja kinauzwa kipo mbezi beach tangibovu mita mia mbili kutoka barabara kubwa ya lami. Kiwanja kina ukubwa wa square meter 1600 kina site plan.
Bei tsh.250,000,000/=

kwa mawasiliano, contact: 0712133065/0654913364, au pm!!

C360_2014-03-13-10-44-29-968.jpg C360_2014-03-13-10-45-26-762.jpg C360_2014-03-13-10-45-58-612.jpg kiwanja.jpg
 
Najua hayo maeneo ni ya matajiri na waheshimiwa Upepo unapovuma
 
Bei stahiki hiyo. Kwa wanzetu wa mbagala, chanika, geza ulole, kongowe ukiwa na hiyo pesa maaneo yanu unanunuwa viwanja vyenye ukubwa wa mwenge nzima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom