Wekeza basi wew tuoneshamba lipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya uwekezaji wa chochote .kumbuka ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo unaendelea.
poa mtaona mko maboya wangapi?Wekeza basi wew tuone
hamna mkuu tayari nimeuza moja bado tatukwa hyo bei utakesha
ujenzi wa bandari mpya kaka fuatilia taarifaNan kakuambia kuna ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo inaendelea? Kama unauz kiwanja chako usiingize uongo ndugu.