Kiwanja kinauzwa Manispaa ya Ilemela Mwanza

Kiwanja kinauzwa Manispaa ya Ilemela Mwanza

Mzee Mchochezi

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
125
Reaction score
244
Kiwanja kinauzwa

Location: Magaka,manispaa ya ilemela

Sifa:-Ukubwa wa kiwanja ni 20*28
Kimepimwa na kipo kwenye makazi ya watu,huduma za maji na umeme zipo

Ni mwendo wa dakika 1.5 hadi 2 kwa kutembea kufika Barabara kuu

Ni mwendo wa dakika 5-10 kutoka yalipo makao makuu ya manispaa ya Ilemela na ofisi za wilaya ya ilemela

Kiwanja kina msingi wa nyumba ya chumba 2 sebule,choo na stoo na mchanga pia

Bei ni M.6 ila mazungumzo yapo.

Ukihitaji nichek PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom