Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mbezi Golan

Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mbezi Golan

Mkanganyiko

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
34
Reaction score
11
Ninauza kiwanja Kimara Golani approximately 2.5km from morogoro road, Kuna msingi wa nyumba uliokamilika. Ukubwa wa eneo ni sq m 1400, Kama ilivyo terrain ya Kimara eneo hili lina bonde ambalo kama utasawazisha kwa greda itakuwa safi au kama uwezo upo unaweza kujenga style ya underground. Pamoja na msingi uliopo bado kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine ya pili na fremu. Eneo lipo barabarani kabisa. Bei ni karibu na bure Tshs 15 millions 0714 783571
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom