Kiwanja kinauzwa madale kwa kawawa

Kiwanja kinauzwa madale kwa kawawa

dmosha

Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
21
Reaction score
2
Kiwanja kipo madale kwa kawawa,Unaingilia Tegeta Kibaoni, ni umbali wa kilomita zisizo pungua 7KM toka barabarani mpka kiwanja kilipo, kuna makazi ya watu tayari huko wamejenga tu, kiwanja ni nyaraka za Serikali za Mitaa hakina Shida kabisa, Gari ya aina yoyote inafika mpka hapo kiwanja kilipo, Kiwanja ni tambarale rahisi kwa ujenzi wa NYUMBA YA MAKAZI.

Size ni kwa feet , 30 kwa 25.
Tsh 7.700000/= Million
Negotiable Price
call now +255 658200413
 
Attachments

  • CAM02166.jpg
    CAM02166.jpg
    989.1 KB · Views: 223
  • CAM02165.jpg
    CAM02165.jpg
    868.6 KB · Views: 201
  • CAM02163.jpg
    CAM02163.jpg
    869.6 KB · Views: 200
Kiwanja kipo madale kwa kawawa,Unaingilia Tegeta Kibaoni, ni umbali wa kilomita zisizo pungua 7KM toka barabarani mpka kiwanja kilipo, kuna makazi ya watu tayari huko wamejenga tu, kiwanja ni nyaraka za Serikali za Mitaa hakina Shida kabisa, Gari ya aina yoyote inafika mpka hapo kiwanja kilipo, Kiwanja ni tambarale rahisi kwa ujenzi wa NYUMBA YA MAKAZI.

Size ni kwa feet , 30 kwa 25. Tsh 7.700000/= Million Negotiable Price call now +255 658200413
 
mkuu ni kiwanja kimepimwa kwa feet yaani hatua upana 25 urefu 30
 
Mleta mada kachanganya feet na hatua a.k.a miguu!! Harafu hata kama ni miguu 25 kwa 30 katika mita kitakuwa na wastani wa 20 kwa 25 tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom