Kiwanja kinauzwa Luchelele Mwanza

Kiwanja kinauzwa Luchelele Mwanza

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,950
Reaction score
6,981
kina ukubwa wa 25*35, kipo karibu na hostel ya wanafunzi wa saut mwanza. eneo hilo linakuwa kwa kasi ya ajabu.

bei 6milion.

ukihitaji pm tafadhali
 
Mie nahitaji maeneo ya usagala let me know the cost
 
Taja jina la hostel wengine tupo luchelele

Sent from my BlackBerry 9 using JamiiForums
 
Piga picha kiwanja chenyewe na mazingira yaliyozunguka kiwanja hicho na utuwekee picha hizo hapa
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom