Kiwanja kinauzwa Kwembe

Kiwanja kinauzwa Kwembe

Kiriba

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
540
Reaction score
257
Kiwanja kinauzwa kipo Kwembe, kinapakana na Mradi wa Compus Mpya ya Muhimbili University. Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 2,600. Kime pimwa lakini hakina hati, hati utafuatilia mwenyewe.

Kinafaa kwamatumizi ya biashara kama vile Hostel, Hotel, Commercial Complex, makazi, etc.

Tuwasiliane kwa bei na mambo mengine.
 
Bei ya kiwanja ni milioni 200 Karibuni wote
 
Square mitre 2600 mill 200! Hizi figure zinathaminishwaje?? Msaada tafadhali.
 
Kaka huyo tripo9 ni mhuni tu achana nae. Tuwasiliane kwenye inbox yangu tuoongee kwa yeyote anae hitaji.

Bei iko poa.
 
Kwembe ni wanakojenga campus mpya ya chuo kikuu cha muhimbili. Ukifika mbezi mwisho oposit na sent Joseph university unaingia kushoto. Nikwenye nikaribu na makazi mapya ya Luguruni
 
Barbara zinajengwa, maji na umeme
 
Kwanini hutaki kuweka bei hadharani mapak ufwatwe PM??Hujiamini??
 
Changamkia fursa. Bei ni 12,000/sqm, lakini mazungumzo yapo napia payment modality ita influence bei vilevile.
 
Nimeamuakukuwekea bei coz hujaweka bei. Nakuharibia. Nitadelete nilichoandika kama ukiweka bei. Muna boa sana nyinyi
 
Wewe ni mwenyewe ama ni dalali, una maana gani kusema kimepima lakini hakina hati???????, ina maana kina offer tu, kuna uhakika gani kuwa hakiingia kwenye mradi wa MUHAS maana wengi wameklizwa kwa kuwaingilia MUHAS
 
Shamba nilangu nakaamua kulipima viwanja, halina mahusiano yoyote na muhimbili. Walioko kwenye mradi wa muhimbili walisha lipwa na wakaondoka.
 
Changamkia fursa. Bei ni 12,000/sqm, lakini mazungumzo yapo napia payment modality ita influence bei vilevile.

Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 
Kipo cha sqm1180, kina hati. Kipo ukonga/Majohe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom