Wasalaam wanajf?
Kiwanja kinauzwa kipo Kwamathias-Kibaha,Ukubwa wake ni 18X20, bei yake ni milioni 3 cash.
Kipo umbali wa km 1-2 kutoka barabara kuu ya morogoro road.Kilipo ni sehemu ambayo watu ndiyo wameanza kujenga.
kwa mawasiliano piga simu-0788252999.