NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,665 Jan 29, 2019 #1 Salaam, Kiwanja kinapatikana kitunda, Mara tu baada ya kuvuka reli kituo kinachofuata. Kiwanja kina ukubwa miguu 25*27 Kina msingi wa nyumba tayari Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara ya lami. Bei: 8m (neg) Call/SMS 0756 832833 Sent using Jamii Forums mobile app Attachments tapatalk_1548776106011.jpeg 139.1 KB · Views: 71
Salaam, Kiwanja kinapatikana kitunda, Mara tu baada ya kuvuka reli kituo kinachofuata. Kiwanja kina ukubwa miguu 25*27 Kina msingi wa nyumba tayari Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara ya lami. Bei: 8m (neg) Call/SMS 0756 832833 Sent using Jamii Forums mobile app
G.Jacob JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,617 Reaction score 3,490 Jan 29, 2019 #2 Hiki kipo mbele ya matembele au nyuma yake?
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,694 Reaction score 11,291 Feb 9, 2019 #3 NAREI said: Kituo cha Florida, then unaingia kushoto (Ni mbele ya kituo cha matembele) Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ile sehemu siyo ipo kwenye mkondo wa maji ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
NAREI said: Kituo cha Florida, then unaingia kushoto (Ni mbele ya kituo cha matembele) Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ile sehemu siyo ipo kwenye mkondo wa maji ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,554 Reaction score 7,993 Feb 10, 2019 #4 Mwambie achukue 5 cash Sent using Jamii Forums mobile app
asanteelimu2016 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 248 Reaction score 146 Feb 21, 2019 #5 Kipimo cha miguu sio labda upime kwa meter miguu ni wizi Sent using Jamii Forums mobile app
NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,665 Apr 25, 2019 Thread starter #6 ARV said: Mwambie achukue 5 cash Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa boss!
NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,665 Jul 17, 2019 Thread starter #7 Av