dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Kaa nacho hadi mwaka 2020 labda Magufuli ataachia pesa. Vinginevyo utachacha nacho.
Picha za eneoKiwanja kipo ununio kilimo kwanza, mtaa wa pili kutoka lami
Size plot 1200 sqm
Pamepimwa na pana hati
Bei 120m
Bei inamaongezi kidogo
Mawasiliano na maelezo zaidi ongea nami kwa
0756060183
Kwahyo mkuu saivi hakuna maisha tena mpaka Magufuli atoke?Kaa nacho hadi mwaka 2020 labda Magufuli ataachia pesa. Vinginevyo utachacha nacho.
Hapana mkuu. Maisha yapo ila watakatisha fedha wamepigwa kibano. Kwa maisha ya kwaida hapo utakuwa unacheza. Hizi bei zilikuzwa na watakatisha fedhaKwahyo mkuu saivi hakuna maisha tena mpaka Magufuli atoke?
Oky sawa ingawa pia hiyo bei ni kwa kipindi hiki hapo awali ilikuwa zaidi ya hapo ila yote kwa yote bado maisha yanaendelea hata kamaHapana mkuu. Maisha yapo ila watakatisha fedha wamepigwa kibano. Kwa maisha ya kwaida hapo utakuwa unacheza. Hizi bei zilikuzwa na watakatisha fedha
Nashkr piaAhsante kwa bandiko
PoaNashkr pia
Hapana mkuu sio njia ya majiNjia ya maji maana karibu na kwa DC kippi waryoba panajaa sana maji
PoleKiwanja Milioni 120!!!!!! Kweli watanzania ni wezi.
Hahaa sawa ndg, nimefrahi mstari wa mwishoMtoa mada labda uwarahisihie wasione kuwa bei iko juu. Weka kuwa square mita moja ni sawa na shilingi ngapi halafu wakizidisha mara hizo mita 1200 watapata jibu wanatakakiwa walipe shilingi ngapi.
Ila ifike mahali serikali iweke bei elekezi, yaani ukinunua kiwanja serikalini kwa square mita 1 tsh 4,000/- hutakiwi kukiuza zaidi ya square mita kwa shilingi 8,000/-. Mizani ina umuhimu sana kwenye vipimo kumlinda mlaji na muuzaji.
Kila la kheri.
OUT OF TOPIC: Gari yako altezza nzurii, napendaga magari meusi. ....[emoji39] [emoji39] natumai ndani linanukia vizuri kama linavong'aa kwa nje.
K' Matata.
Usiogope bei ya kuanzia biashara unaweza uziwa hata chini ya 100mHiyo bei ya Nyumba au kiwanja?!
Hata huko Masaki sijui kama bei hiyo inafika kwa sasa!