ni kiwanja kizuri kikubwa kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kisasa. KIPO TABATA SEGEREA PLOT NO..... INA OFFER MIDIUM DENSITY RESIDENTIAL PLOT SIZE 690 SQM. kimezungushiwa ukuta na kimejengwa msingi kwa ajiri wa ujenzi wa nyumba ya kisasa. picha ya eneo nitaweka kesho. kwa maelezo zaidi ( havilla Real Estate Agent 0755 099 291 , 0686 200 117, 0657 14 5555.)Thomas
Weka bei ili kuwafanya watu wajishughulishe au watulize Ball, kwa mfano mimi nina M10 Kwenye account yangu kwa kutokuweka bei sijui kama nipo kwenye level ya kukaribia bei au nipo nje kabisa niendelee na shuguli zanguni kiwanja kizuri kikubwa kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kisasa. KIPO TABATA SEGEREA PLOT NO..... INA OFFER MIDIUM DENSITY RESIDENTIAL PLOT SIZE 690 SQM. kimezungushiwa ukuta na kimejengwa msingi kwa ajiri wa ujenzi wa nyumba ya kisasa. picha ya eneo nitaweka kesho. kwa maelezo zaidi ( havilla Real Estate Agent 0755 099 291 , 0686 200 117, 0657 14 5555.)Thomas
sawa bei yake ni $ 50,000.00Weka bei ili kuwafanya watu wajishughulishe au watulize Ball, kwa mfano mimi nina M10 Kwenye account yangu kwa kutokuweka bei sijui kama nipo kwenye level ya kukaribia bei au nipo nje kabisa niendelee na shuguli zangu
Tanzania hiyo currency uliyoiquote hatuitambui. Tumia TShs plzzz!sawa bei yake ni $ 50,000.00
sawa bei yake ni $ 50,000.00
sawa bei yake ni $ 50,000.00
sawa bei yake ni $ 50,000.00
Ni karibia Million 80 za Kitanzania. Alafu sijui nafanya nini kwenye hii thread maana hizi ni dharauNa bei ya madafu
$50,000 x Tshs 1,600/$ = Tshs 80,000,000/=.
Kina nini cha ziada hicho kiwanja??
$50,000 x Tshs 1,600/$ = Tshs 80,000,000/=.
Kina nini cha ziada hicho kiwanja??
sawa bei yake ni $ 50,000.00
690 Sqm @ Tzs 10,000/- = 6.9MilMedium Density halafu U$ 50,000.00 labda chini yake kuna almasi!!!!!
Kwelo Bongo kuna watu hawana uelewa kabisa!!!!!
Labda uwe Mkulo ndiyo utanunua kiwanja kama hicho maan hutakiwa na uchungu na hiyo hela.
$50,000 x tshs 1,600/$ = tshs 80,000,000/=.
Kina nini cha ziada hicho kiwanja??