Kiwanja kinauzwa kipo Mkuranga maeneo ya dundani karibu na shule ya msingi mita 40 kutoka barabara ya Kilwa road kina upana wa mita 30 na urefu mita 40 kina miembe 3 minazi 5 na migomba 5 pamoja na mazao mengine bei ni 10m
Bei haishuki kidogo mkuu hakuna ambacho kina mazao cha kawaida mkuu huko mkuranga
Mkuu kiwanja kinatazama barabara kuu? Kama jibu ni ndio njoo pm tuelewane maana nahitaj kiwanja kinachotaza barabara nifungue kiwanda kidogo cha kuzalisha unga wa sembe niwauzie huko mkuranga, si wateja mpo tele?

Hicho kiwanja labda kwa makazi lakini ukiweka kiwanda ujiandaye na fine za nemc maana ukubwa huo hautoshi kiwanda.
dundani, kwa bei hiyo,? nakutakia kila la kher.
Kiwanja kinauzwa kipo Mkuranga maeneo ya dundani karibu na shule ya msingi mita 40 kutoka barabara ya Kilwa road .
Kina upana wa mita 30 na urefu mita 40 kina miembe 3 minazi 5 na migomba 5 pamoja na mazao mengine bei ni 10m.
Dundani mill 10 simchezo