Kiwanja kinauzwa kipo Kibamba

Kiwanja kinauzwa kipo Kibamba

TATA50

Member
Joined
May 5, 2017
Posts
83
Reaction score
109
Kuna kiwanja kinauzwa,kipo Kibamba kibwegere kwa Kong'wa.
Kina ukubwa sqm 30 kwa sqm 18. Bei n 2M, vipo viwili pamoja,kwa anaehitaji,karibuni sana.kutoka Kibamba lami (morogoro road),nauli ya bodaboda ni sh 1000__mpaka 1500, karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipo Mita ngapi kutoka morogoro road!sema wadau wajue kabisa maana tinga tinga bado liko maeneo hayo

Ova
 
Kuna kiwanja kinauzwa,kipo Kibamba kibwegere kwa Kong'wa.
Kina ukubwa sqm 30 kwa sqm 18. Bei n 2M, vipo viwili pamoja,kwa anaehitaji,karibuni sana.kutoka Kibamba lami (morogoro road),nauli ya bodaboda ni sh 1000__mpaka 1500, karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha 18m x 30m Nazani. Hebu well detail zaidi, kiko umbali gani toka Moro rd, Umeme na Maji Vipi, na picha pia ni muhimu. Alafu hujaweka contact zako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom