M munga mtengeti Member Joined Aug 4, 2014 Posts 34 Reaction score 10 Jun 20, 2016 #1 Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi Kibaga ukubwa wa 35m kwa 45m kipo kando ya barabara ya lami kuekuelekea mitambo ya gesi mita 20. Bei tsh mil 25 mazungumzo yapo. Piga simu 0754/0715 472414
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi Kibaga ukubwa wa 35m kwa 45m kipo kando ya barabara ya lami kuekuelekea mitambo ya gesi mita 20. Bei tsh mil 25 mazungumzo yapo. Piga simu 0754/0715 472414
K Kwetu Tz Member Joined Apr 24, 2016 Posts 57 Reaction score 6 Jun 20, 2016 #2 Kimepimwa kina hati mkuu..??
N Nacherewa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 285 Reaction score 457 Jun 21, 2016 #3 munga mtengeti said: Kiwanja kinauzwa kinyerezi kibaga mita 20 kutoka barabara ya lami ya kuelekea mitambo ya gas.Bei mil 25 mazungumzo yapo.Ukubwa ni m35 kwa m40. Kwa mawasiliano 0754/0715 472414 Click to expand... Milioni 15 unachukua?
munga mtengeti said: Kiwanja kinauzwa kinyerezi kibaga mita 20 kutoka barabara ya lami ya kuelekea mitambo ya gas.Bei mil 25 mazungumzo yapo.Ukubwa ni m35 kwa m40. Kwa mawasiliano 0754/0715 472414 Click to expand... Milioni 15 unachukua?
M munga mtengeti Member Joined Aug 4, 2014 Posts 34 Reaction score 10 Jun 25, 2016 Thread starter #5 Million 25
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,870 Reaction score 11,539 Jun 25, 2016 #6 Kibaga ama?
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,551 Reaction score 14,032 Jun 25, 2016 #7 Kimepimwa?
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,878 Reaction score 10,098 Jun 26, 2016 #8 misasa said: Kimepimwa? Click to expand... Anakwepa swali,hahaha We karibu ya geso unategemea kupimwa hapo
misasa said: Kimepimwa? Click to expand... Anakwepa swali,hahaha We karibu ya geso unategemea kupimwa hapo
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Jun 26, 2016 #9 Kama hakojapimwa price yake sio sawa
M munga mtengeti Member Joined Aug 4, 2014 Posts 34 Reaction score 10 Sep 16, 2016 Thread starter #10 Hakijapimwa kipo umbali wa mita 20 toka barabara ya lami na kilometa 3 toka ilipo mitambo ya gesi