Hapana haitoki kwa mafungu
appoh unstallment ndio nini? siku nygine uwe unatumia kiswahiliacha uoga unachukua kwa unstallment mbili mnaandikishiana mahakamani
Weka vipimo kwenye meter.. acha mambo ya hatua ya kufikirika
Hatua 48 kwa 46
appoh unstallment ndio nini? siku nygine uwe unatumia kiswahili
Leta vipimo kwa mita, miguu /hatua haipimiki
Mkuu wewe dalali? Mbona unabadili bei? Ulipo post kwa mara ya kwanza ilikuwa 5,500,000/= lakini gafla umepaa hadi 7m.
Tamaa mbaya.