Jodari
Senior Member
- Mar 2, 2013
- 120
- 16
Kiwanja chenye foundation ya pande mbili kila upande una vyumba 3, choo,jiko, sitting room kina ukubwa mita 16 kwa 21. Kipo mbande mtaa wa kisewe Kata ya chamanzi. Ukitoka sokoni kwa miguu ni 10min. Kipo mtaani kabisa kwenye kona, tambalale gari inafika.
Bei ni milioni 12.
Wasiliana na bolingo namba 0712873967
Email: fahshana@yahoo.com
Bei ni milioni 12.
Wasiliana na bolingo namba 0712873967
Email: fahshana@yahoo.com