Victor Mganga
Member
- Jun 16, 2013
- 26
- 4
Milioni 6 mkuu sasa hivi nikutafte.Habari wakuu,
-Kiwanja kipo kwa kimara mwisho kwa komba.
-Kimepimwa ila bado kukabidhiwa hati.
-kipo sehemu ya tambalale
-Mita 20 kwa 25
-Bei Milion 12
-Maelewano yapo
-0712595635
Kimara kwa Kombo ndiyo wapi mkuu, mais y'a kigongo au bonyokwa ?Milioni 6 mkuu sasa hivi nikutafte.
Mkuu Mimi wala sikujui huko. Akikubaliana na offer yangu ndio ntakutafta ni wapi. Labda ngoja aje atueleze ni wapi huko.Kimara kwa Kombo ndiyo wapi mkuu, mais y'a kigongo au bonyokwa ?
Milion sita mkuu bado upo chini ndugu.Mkuu Mimi wala sikujui huko. Akikubaliana na offer yangu ndio ntakutafta ni wapi. Labda ngoja aje atueleze ni wapi huko.
Kimara kwa komba na sio kwa kombo,kipo maeneo ya king'ongo.Kimara kwa Kombo ndiyo wapi mkuu, mais y'a kigongo au bonyokwa ?