Kiwanja kinauzwa Kimara Bunyokwa

Kiwanja kinauzwa Kimara Bunyokwa

Claranito

Member
Joined
May 26, 2014
Posts
28
Reaction score
3
Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50 mahali Kimara Bonyokwa. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007
 
Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007



Matangazo ya JF bana...

Kiwanja kinauzwa kwa matumizi yapi, wapi kilipo?

Au hayo yahitaji mtu apige simu kuyajua...?
 
Mkuu Claranito tangazo lako lina mapungufu sana. Kama umeshindwa kuweka bei weka hata mkoa kilipo
 
Last edited by a moderator:
Yani ukiona tangazo lina hang hang kuna mambo mengi ndani yake, either huyu mtoa tangazo ni dalali pili unaweza kuta kina mgogoro so akiweka detail kamili kitagundulika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom