Kiko Mkoa Wa Manyara Ndani Ya Manispaa Ya Babati Kata Ya Nangara Mtaa Wa Mkuyuni "A" Kina Eneo La 1995m.Sq. Kiko Pembeni Mwa Barabara (siyo Kuu) Na Kina Nguzo Za Umeme Na Bomba Kuu Ya Maji Ya Bawasu.Pia Kina Nyumba Iliyojengwa Mpaka Lenta Ya Vyumba 4 Vya Biashara.Bei Maelewano.Simu 0784747687