Kiwanja kinauzwa Kigamboni Dar kwa haraka

Tumbili

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
52
Reaction score
56
Hi wana JF,

Nina kiwanja changu kipo maeneo ya Kigamboni sehemu iitwayo Mwasonga, kituo cha daladala kinaitwa Mwembe mdogo karibu kabisa na ulipo mradi wa NSSF wa ECO house.

Viwanja ni viwili kwa kimoja na ukubwa ni kama robo tatu ya heka. Kiwanja kipo mita 500 kutoka barabara ya lami iendayo kiwanda cha cement.

Kutoka barabara ya lami kwenda kilipo kiwanja kuna barabara kubwa ya vumbi ambayo inapita mbele kabisa ya kiwanja.

Kwa muhitaji aliye serious tuwasiliane kwa namba 0625 616851, ili niweze kukupa namba ya mtu atakae kuelekeza kilipo na kukusaidia uweze kufanya ukaguzi.

Naomba kuwakirisha.
 
Hi wana JF, nina kiwanja changu kipo maeneo ya Kigamboni sehemu iitwayo Mwasonga, kituo cha daladala kinaitwa Mwembe mdogo karibu kabisa na ulipo mradi wa NSSF wa ECO house. Kiwanja ni viwili kwa kimoja na ukubwa ni kama robo tatu ya heka. Kiwanja kipo mita 500 kutoka barabara ya rami iendayo kiwanda cha cement. Kutoka barabara ya rami kwenda kilipo kiwanja kuna barabara kubwa ya vumbi ambayo inapita mbele kabisa ya kiwanja.

Kwa muhitaji aliye serious tuwasiliane kwa namba 0625 616851, ili niweze kukupa namba ya mtu atakae kuelekeza kilipo na kukusaidia uweze kufanya ukaguzi.

Naomba kuwakirisha.
Mkuu punguza kidogo bei ipo juu.
 
Naitafuta bei ilipoandikwa siioni
Fanya msaada kunionyesha mkuu
Waheshimiwa wote bei sijaiweka hapo, kwakuwa bei ni maelewano tu. Baada ya mtu kukiona kiwanja na kuridhika ndio bei itafuata.
 
sema bei iweze kuwavutia watu na kama inawezekana weka na picha au toa maelezo kidogo ya kiwanja kama usalama umeme na barabara na hali kipindi chamvua mambo mengi tu
 
Hi wana JF,

Nina kiwanja changu kipo maeneo ya Kigamboni sehemu iitwayo Mwasonga, kituo cha daladala kinaitwa Mwembe mdogo karibu kabisa na ulipo mradi wa NSSF wa ECO house.

Viwanja ni viwili kwa kimoja na ukubwa ni kama robo tatu ya heka. Kiwanja kipo mita 500 kutoka barabara ya lami iendayo kiwanda cha cement.

Kutoka barabara ya lami kwenda kilipo kiwanja kuna barabara kubwa ya vumbi ambayo inapita mbele kabisa ya kiwanja.

Kwa muhitaji aliye serious tuwasiliane kwa namba 0625 616851, ili niweze kukupa namba ya mtu atakae kuelekeza kilipo na kukusaidia uweze kufanya ukaguzi.

Naomba kuwakirisha.
Ingekuwa vizuri ungetaja ukubwa wake in sqm ( kina square metre ngapi ?)
 
apo utakua unampotezea mtu muda wake anafika mpaka kule mnashidwana bei,weka bei ya kuanzia ikimvutia anakuja mnaelewana
Sio lazima mtu aende kabla ya kujua bei...., mtu serious anaweza kufanya mawasiliano nami ili nimpatie bei ya kuanzia na namba ya mtu wa kumuonyesha kiwanja kama ambavyo wameshafanya baadhi ya watu hapa. Your welcome mkuu.
 
wewe namba hazitolewi hovyo mkuu we weka mambo wazi watu wajue utakesha
 
Hi wana JF,

Nina kiwanja changu kipo maeneo ya Kigamboni sehemu iitwayo Mwasonga, kituo cha daladala kinaitwa Mwembe mdogo karibu kabisa na ulipo mradi wa NSSF wa ECO house.

Viwanja ni viwili kwa kimoja na ukubwa ni kama robo tatu ya heka. Kiwanja kipo mita 500 kutoka barabara ya lami iendayo kiwanda cha cement.

Kutoka barabara ya lami kwenda kilipo kiwanja kuna barabara kubwa ya vumbi ambayo inapita mbele kabisa ya kiwanja.

Kwa muhitaji aliye serious tuwasiliane kwa namba 0625 616851, ili niweze kukupa namba ya mtu atakae kuelekeza kilipo na kukusaidia uweze kufanya ukaguzi.

Naomba kuwakirisha.
Kwa bei hiyo mkuu utakesha nacho
 
Ukiona mtu ni mgumu kuweka bei basi ujue bei yake imechangamka kiasi cha kuogopa challenge za watu,akimtajia mtu mmoja kwenye simu inakuwa wamelizana hukohuko kwa kushindwana lakin hapa kwenye watu kumcrash ni fasta tu na uzi unaachwa una-hang hewani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom