Ndamwe
JF-Expert Member
- Jun 11, 2008
- 244
- 177
Wanabodi habari njema ni kwamba kiwanja kilichopo Kibaha kwa Mathias kando kando ya barabara iendayo Nyumbu jeshini eneo linaloitwa Jamaika chenye ukubwa wa takribani ekari moja kinauzwa. Kiwanja kinafaa kwa ufugaji wa aina zote pia na shughuli zingine za kiuchumi ukizingatia Kibaha ndio mji unaoongoza kwa ukuaji wa viwanda Tanzania. Bei maelewano. Kiko na michikichi kidogo na miti michache ya mitiki. kama unahitaji kukiona tafadhali wasiliana nami kwa namba 0713354090. Mie ndo mmiliki wa kiwanja sio dalali.