Mwitakesowani
Member
- Jul 24, 2012
- 94
- 29
Nauza kiwanja changu kibaha. Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0786855280. Kiwanja kimepimwa
Nimeweka namba yangu kama unasimu nitafute 0786855280Mkuu Kibaha ni kubwa na hiko Kiwanja kunaukubwa gani na unauzaje?
Labda kama ni 34Mil za Zimbabwe mkuuNimempigia anasema kina ukubwa wa 20x20, anauza milioni 34. Kibaha maili moja
Hii 70M unamaanisha nini?HAYA MIL.1.8 mpakan mwa kibaha na ksarawe kpo center na ni road, ukubwa urefu 70m, upana juu 26, chn 16 MAONGEZ YAPO utalpa kwa awamu ruksa,maji,mawe,kokoto kibao na ni tambalale panaitwa musese upta kongowe ya kbaha 0764726071
Muwe mnasoma sms vizuri. Huyo anayesema amepiga hajapiga simu. Hamna haja ya kucommeny ishu usio nauhakika waliotaka kujua nishawasilian Nao natayar nishawapelekaAtakuwa hayuko serious kabisa mi naishi kibaha milioni tano u apata kiwanja high density kikiwa na hati tena yenye jina lako! IPO miradi mingi sana ya viwanjwa vya makazi.
Kama wewe ni mwanaume jichunguze upya utakuwa na matatizo si bure na kama ni mwanamke jirekebishe. Hiki nikiwanja kilichopimwa na walio serious nishawaonesha baki kufurahisha jukwaa kwa akili zakoNimempigia anasema kina ukubwa wa 20x20, anauza milioni 34. Kibaha maili moja
huyo ni mpuuzi hajapiga simu achane naye hajielewiLabda kama ni 34Mil za Zimbabwe mkuu
Geanzisha thread yako kuuza hicho chako. Mnaboa sanaHAYA MIL.1.8 mpakan mwa kibaha na ksarawe kpo center na ni road, ukubwa urefu 70m, upana juu 26, chn 16 MAONGEZ YAPO utalpa kwa awamu ruksa,maji,mawe,kokoto kibao na ni tambalale panaitwa musese upta kongowe ya kbaha 0764726071
Ungeanzisha thread kuuza shamba lako hilo. Muwe mnajitambua lolM = MITA.
ungakaa kimya hiko ungepungukiwa nn. Hakukuwa naulazima wa ww kucomment.Wauzie majirani zako wanaopafahamu .

Mpo kufurahisha jukwaa tu. Mteja aliye serious huwa acomment zaidi ya madalali. Umewekewa namba unataka nn zaidi.Labda kama ni 34Mil za Zimbabwe mkuu