kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.

kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Habari JF..kiwanja kinauzwa kiko kibaha kongowe kina ukubwa wa mita 15 kwa 15 bei kuanzia million 5.Karibu kwa maelewano.
 
Habari JF..kiwanja kinauzwa kiko kibaha kongowe kina ukubwa wa mita 15 kwa 15 bei kuanzia million 5.Karibu kwa maelewano.
milion tano kwa kongowe kwa sasa ni ndoto, nakupa laki tano nicheki
+265999300690
 
kama huko mbali hvo 5ml je mbezi kimara itakuwa ngapi? Kuwa realistic man, mt 15 kwa 15, n kwa matmz gan?
 
Habari JF..kiwanja kinauzwa kiko kibaha kongowe kina ukubwa wa mita 15 kwa 15 bei kuanzia million 5.Karibu kwa maelewano.
15m x 15m = 225Sqm

Tshs 5,000,000/225Sqm
= Tshs 22,220/Sqm

Hiyo ni Kibaha Kongowe na hakijapimwa!!
You are not serious for sure!!

Nyinyi ndio mnaojaza sever za JF kwa unnecessary posts a.k.a Pumba!!
 
milion tano kwa kongowe kwa sasa ni ndoto, nakupa laki tano nicheki
+265999300690

yani wewe akili huna..kwa uelewa wako wa kimulugo kongowe ni porini mpaka useme laki tano?? sina dhiki nauza navyotaka wala sina haraka.
 
kama huko mbali hvo 5ml je
mbezi kimara itakuwa ngapi? Kuwa realistic man, mt 15 kwa 15, n kwa
matmz gan?

Huwezi kujua matumizi yake kwa sasa kwa kuwa huna..aliyekuambia kwa sasa kimara kuna viwanja nani?? ardhi inapanda thamani kila kukicha usiponunua leo huwezi kununua kesho maana hali ya kesho itakuwa tete zaidi.
 
15m x 15m = 225Sqm

Tshs 5,000,000/225Sqm
= Tshs 22,220/Sqm

Hiyo ni Kibaha Kongowe na hakijapimwa!!
You are not serious for sure!!

Nyinyi ndio mnaojaza sever za JF kwa unnecessary posts a.k.a Pumba!!

nawe unaona umeandika cha maana hapo?? stupid.
 
Huwezi kujua matumizi yake kwa sasa kwa kuwa huna..aliyekuambia kwa sasa kimara kuna viwanja nani?? ardhi inapanda thamani kila kukicha usiponunua leo huwezi kununua kesho maana hali ya kesho itakuwa tete zaidi.

Mkuu acha kujifariji,hiyo bei yako,ukubwa wa eneo na mahali kilipo hamna sio sahihi.eneo ni dogo sana hilo na halijapimwa hivyo punguza bei.Viwanja vya serikali vilivyopimwa kigamboni cha Sqrm 600,30 kwa 20 unapata kwa 4.8M.huoni hapo kuwa haupo realistic? Hata kama ardhi imepanda thamani ila sio kwa kiwango hicho
 
yani wewe akili huna..kwa uelewa wako wa kimulugo kongowe ni porini mpaka useme laki tano?? sina dhiki nauza navyotaka wala sina haraka.

Sasa hii bei yako ni tamaa iliyopitiliza, hapo Kongowe njia ya kwenda kule misitu kuna nyumba ya mama mmoja na eneo safi kabisa ingawa haijaisha vizuri na anauza Millioni Saba tu, labda uwatafute wauza unga watanunua
 
hiyo nyumba mkuu ishanunuliwa?
 
Mkuu acha kujifariji,hiyo
bei yako,ukubwa wa eneo na mahali kilipo hamna sio sahihi.eneo ni dogo
sana hilo na halijapimwa hivyo punguza bei.Viwanja vya serikali
vilivyopimwa kigamboni cha Sqrm 600,30 kwa 20 unapata kwa 4.8M.huoni
hapo kuwa haupo realistic? Hata kama ardhi imepanda thamani ila sio kwa
kiwango hicho

so kwa uelewa wako ulitaka kiuzwe bei gan?? mkuu hiki siyo kiwanja cha serikali.
 
Sasa hii bei yako ni tamaa
iliyopitiliza, hapo Kongowe njia ya kwenda kule misitu kuna nyumba ya
mama mmoja na eneo safi kabisa ingawa haijaisha vizuri na anauza
Millioni Saba tu, labda uwatafute wauza unga watanunua

huyo anauzia dhiki..wenye hela zao watakuja kununua siyo wewe hadi uzichungulie afu sina haraka.
 
so kwa uelewa wako ulitaka kiuzwe bei gan?? mkuu hiki siyo kiwanja cha serikali.
Hata viwanja vya watu binafsi vilivyopimwa unapata kwa 5.4M kiwanja cha 30 kwa 20,tena kimepimwa na kigamboni ni karibu kuliko kongowe.Mbaya zaidi kiwanja chako mtu hawezi kujenga nyumba ya kuishi,hilo eneo unatakiwa uuze kwa chini ya 1M,na pia huko kongowe ekari moja inauzwa laki 3 mpaka 5 kwa sasa,sasa kwanini nisinunue ekari moja ninunue hako kakiwanja kaduchu kwa mbei mbaya hvyo wakati vyote havijapimwa? Fikiria hayo mkuu utaelewa,you overrated ur plot
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom