kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Habari JF..kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa mita 15 kwa 15 kiko Kibaha Kongowe bei milioni 5 na maelewano.
 
Kimepimwa!? Au ni Cha kienyeji!??? Umbali na Barabara ya Morogoro!?

Weka wazi.
 
Kimepimwa..kiko mbele ya barabara ya zamani ya morogoro na panafikika kirahisi kabisa.
 
Kimepimwa!? Au ni Cha kienyeji!??? Umbali na Barabara ya Morogoro!?

Weka wazi.

Mkuu kimepimwa kiko mbele ya barabara ya zamani ya morogoro na panafikika kirahisi kabisa.
 
15 by 15 milion 5 ! Mzee hizo ni sqm 225 tu hata robo ya robe heka hakijafika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…