kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.

kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Habari JF..kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa mita 15 kwa 15 kiko Kibaha Kongowe bei milioni 5 na maelewano.
 
Kimepimwa!? Au ni Cha kienyeji!??? Umbali na Barabara ya Morogoro!?

Weka wazi.
 
Kimepimwa..kiko mbele ya barabara ya zamani ya morogoro na panafikika kirahisi kabisa.
 
15 by 15 milion 5 ! Mzee hizo ni sqm 225 tu hata robo ya robe heka hakijafika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom